Harmonize "Bado" vs Raymond "Kwetu" - Ipi kali? Tumalize ubishi

Raymond vs Harmonize: Wimbo upi mkali?

  • Total voters
    18
  • Poll closed .

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,644
23,474
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k.

Tumalize ubishi hapa.

Mimi kura yangu kwa RAYMOND.

download (2).jpg
 
Kutwa kidomo wazi nikifuta na machozi uku namuomba mola unitoke moyoni asante kwa kuniumiza nimejifunza mengi mwanzo sikuyajua ayo mashairi harmonis ni atari
 
kwetu ya raymond tamu kinyama, afu ukicheki mshkaji amecmama man alone na mistari mikali hatari. afu ukichek ideal yake ina high creativity tofauti na bado ya hamonise ideal imefanana na nyimbo nyingi mfano siwezi ya da prince na ukimwona ya diamond etc,
 
Safi sana DIAMOND sasa umeshawatoa watu kwenye kukulinganisha wewe na yule nani sijui ... hadi kulinganisha wasanii waliochini yako ( Raymond na Harmonize wote wapo chini ya lebo ya WCB ambayo ni ya DIAMOND) na kwasasa tuna njia ya mkato kabisa ya kujua nani zaidi ya mwenzie na sio hisia ( na ndio huko kibakuli alikuwa anachoka akiangalia anavyosiwa na hali halisi si kweli ) Hebu ingieni hapa uangalie hizo top 20 za kila wiki. CMEA | CMEA
 
Very true...
 
Kwa harakaharaka hizi nyimbo na wasanii kwa vigezo vyote wanafanana isipokuwa video.Video ya wimbo wa Bado haina uhalisia wa maisha ya watanzania walio wengi na kuna uzi humu upo unaonyesha kuna mambo wameiga ulaya. Wimbo wa Kwetu unaelezea maisha halisi ya watanzania walio wengi, matukio yanayoimbwa na kuonyeshwa yapo huku kwetu.Hivyo hapa Raymond lazima aibuke mshindi.
 
Huku kwetu ya Ray ipambanishe na Aiyola ya huyo Harmonise ndo zinaweza kukaribiana kwa viwango.
 
Back
Top Bottom