Hali inaonekana sio shwari kabisa kwenye family ya nguli wa music tanzania. Kimbunga kikali Kilichosababishwa na mapenzi ya wawili (zari na diamond )kinaonekana kikiipiga vilivyo familia hii na kuigawa vipande vipande. chanzo kinasemekana ni ile wolrd tour ambapo mama mkwe na mpora wake waligombana. Imefikia hatua ya bi. Sandra kushirikiana na accounts mbali mbali za wanafamilia wanaomdhihaki zarina kwa ushabiki wa hali ya juu. Za ndani zinasema wanasubiri mtoto aache kunyonya mkeka uchanwe kila mtu aelekee kwao. Inachoma kama pasi kuona penzi alilolisotea madam zari likipepea kama moto wa karatasi.
Maskini zari hana bahati ameiwa fungu la kukosa kwenye mahusiano.
Maskini zari hana bahati ameiwa fungu la kukosa kwenye mahusiano.