Remix ya Ndindindi iwe Jide feat Nay

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,456
Kwa jinsi movi inavyoendelea kati ya Ndindindi na Jide.. Inabidi komando atoe remix ya wimbo huo Ndindindi ameshirikishe True boy ili aweze kumchana vizuri Ndindindi mana komando hampi makavu live anamzunguka zunguka tu..

Huo ni mtazamo wangu kama shabiki wa Bongoflava na Bongo movie
 
jide naye aache kumchokonoa G amove on sasa kwani akimpa hayo makavu ndio anapata nini? anajipa stress tu kelele nyingii mwenzie akirusha kombora moja tu watu wanapaniki hebu muacheni gadna bhana....
kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Hivi unadhani kuna msanii atakayekubari kufanya nyimbo/remix na Jide ??? ( hata kibakuli hawezi kukubali pamoja ni mshikaji wake na wapo menejimenti moja. )
 
Na Gadna atatoa Kumkojoza remix ila itakua ndefu ya dakika 3 sio kama hii ya 30 seconds.
 
jide naye aache kumchokonoa G amove on sasa kwani akimpa hayo makavu ndio anapata nini? anajipa stress tu kelele nyingii mwenzie akirusha kombora moja tu watu wanapaniki hebu muacheni gadna bhana....
kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Mapenzi ya kitotooo... ya kitotooo mi siweeezi....
 
Mambo hayo ya kijinga yalianzishwa na Sir Nature baada ya kuachana na Sinta. Nature alitunga album nzima dhidi ya Sinta.

Wasanii ni wasanii tu hawana ufahamu mkubwa wa masuala ya kijamii.

Bazazi
 
  • Thanks
Reactions: 365
Mambo hayo ya kijinga yalianzishwa na Sir Nature baada ya kuachana na Sinta. Nature alitunga album nzima dhidi ya Sinta.

Wasanii ni wasanii tu hawana ufahamu mkubwa wa masuala ya kijamii.

Bazazi
bange siyo nzuri....nature zimpeleka kuimba album nzima kwa ajili ya sinta
 
Hivi unadhani kuna msanii atakayekubari kufanya nyimbo/remix na Jide ??? ( hata kibakuli hawezi kukubali pamoja ni mshikaji wake na wapo menejimenti moja. )
Wewe jamaa ni hovyo sana. Kwahiyo diamond ataweza au?
 
jide naye aache kumchokonoa G amove on sasa kwani akimpa hayo makavu ndio anapata nini? anajipa stress tu kelele nyingii mwenzie akirusha kombora moja tu watu wanapaniki hebu muacheni gadna bhana....
kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Upo sahihi kabisa ................
 
Haaa haaa haaa hamna atajayekosa kuiskiliza hyo rmx km wakiimba. The true boy
 
Back
Top Bottom