Moyo Mashine -Ben Paul ,RnB ina Mfalme

Wimbo mkali sana ila hili beat nahisi limeibwa mahali. Em tusubiri
.

CLASSIC.
 
hahahaa..... Mkuu kiba anakujaje hapa.

Naskia ana ngoma mpya...!??
Nahofia kusema sana, kijana ndo anapotea kwenye game. Kwa ngoma aliyotoa mzee wa ndovu amewafedhehesha wapenzi na mashabiki wake. Yaani aibu naona Mimi.
 
Nahofia kusema sana, kijana ndo anapotea kwenye game. Kwa ngoma aliyotoa mzee wa ndovu amewafedhehesha wapenzi na mashabiki wake. Yaani aibu naona Mimi.
Yaan kwa kweli ule wimbo asingekuepo MI ushakuwa umedoda
 
Heeii... Heeiiii... Ben Pol .... heeiiii... in Nigerian voice.

Ngoma zenye viwango hivi hazizidi mbili kwa mwaka. Hongera kwake.

Nani producer wa beat!??
 
Back
Top Bottom