geometry
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 466
- 356
Video Queen na msanii wa filamu Tanzania, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana.
Gigy amesema kwa kuwa anatafuta fedha ya kubadili maisha yake, anaweza kufanya tendo hilo kwa sababu anahitaji kuishi kitajiri zaidi.
"Yaani nikiambiwa napewa mamilioni nicheze picha hizo nipo tayari maana hapa duniani wanaokula starehe zaidi ni wale wenye fedha sasa nikipewa mamilioni ili nibadili maisha yangu, niko tayari maana nitabadili maisha yangu na nitaishi kitajiri hapo mpaka watu waje kunishtukia nitakuwa nimeshakula bata vya kutosha,” alisema Gigy na kuongeza kuwa amewahi kufuatwa na watu mbalimbali kutoka Dubai wakimtaka kwenda kucheza filamu hizo, lakini alikataa kutokana na fedha walizomtajia kuwa ni kidogo na hakuwa tayari kwa muda huo.