Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu...
Katika Mahojiano yake na Waandishi wa Kampuni ya New Habari(2006) Ltd,Wema Sepetu anaanza kwa kusema
"Nilipokuwa na uhusiano na Marehemu Kanumba,nikiwa naishi na wazazi wangu,niliwaza kama...
Chid Benz amedaiwa kutoroka sober house baada ya kukaa muda wa mwezi mmoja, watu waliokuwa wanamuangalia wanasema inawezekana alikuwa hajazoea kukaa kufungiwa kila mara ndio maana akaondoka lakini...
Nimesikitishwa na kushangazwa sana kuona radio Hii,
Tena iliyopo jijini Dar Kuwa na watangazaji wabovu kama hawa.
Hadi mgeni Jide kawaona kituko.
Jionee hapa
Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu.
Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga...
Ile TV series inajulikanayo kama Empire Katika msimu huu ambao ni msimu wake wa 3 hatimae Mtanzania ambaye pia ni muimbaji aishiye Marekani katika jiji la Chicago dada yetu Kokugonza ameshiriki...
Wadau haya twende kazi nani unayemuona zaidi ya mwingine kati ya mpoki na joti matangazo ya mitandao ya vodacom na Tigo,
Mi kwangu mpoki kwenye hili tangazo la vodacom la "Hapa kasi tu"jamaa...
Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo ‘Chidi Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya‘sober house’ kilichopo Bagamoyo...
Ninaomba msaada wenu hapa kwa hii caption je? Maigizo ama wanahimiza Ndoa za Jinsia moja? Me nacheck hii movie sasa nipate tafakuri na nyie mnipe mawazo yenu.
Wanajamii
Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu...
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.
Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata...
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile...
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?
Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na...
1. Afande Sele vs O Ten
Hawa wote ni vijana kutokea Mkoani Morogoro kwa kirefu walishawahi kati beef ambayo kwa kiasi flani ilikuwa gumzo
2. Dudubaya vs Mr Nice
ugomvi kati ya Dudubaya na Mr...
Hatuna budi kuwapongeza wasanii hawa mashuhuri katika Tasniaa ya uchekeshaji kwa mafanikio makuu wanayoyapata. Sasa hawa ni mfano wa kuigwa ni watu walio makini na kutunza majina yao (Image and...