Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,066
- 1,048
Nimetoka kutazama akaunti ya instagram ya Shilole anatoa maneno mabaya kwa Vanessa.
Mashabiki wanahisi anamshambulia Vanessa Mdee japo hajanyoosha maelezo.
Nilichokiona sijawahi kukiona instagram kwa muda mrefu.
Team zote zimeungana kumnyoosha Shilole kwa kumkosea adabu Vanessa. Team Diamond, Wema, kiba, Zari, Anaconda wote wameunganisha nguvu kumpigania V money.
Hii inaonyesha ni namna gani Vanessa anaheshimika na makundi yote na inatoa image nzuri sana kwa msanii kibiashara na kijamii.
Big up kwake hii sio rahisi kwa msanii zama hizi kukubalika na wote
Msikilize Shilole hapa akitishia kumchapa vibao Vanessa Mdee.
Vanessa ajibu mapigo.
Kuna maelezo yanayokinzana kuhusiana na sababu iliyowafanya wawili hao waingie kwenye ugomvi.