Wanajamii
Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu anaejua kucheza na maneno ila sasa tunapoelekea anapitiliza.
Kwa wale mnaosikiliza kipindi icho naamini mtakubaliana na mimi naomba uongozi wa E-FM mumdhibiti uyu jamaa sio mda wote uwe wa masihara na utani na maneno ya kijinga TCRA muda sio mrefu naamini watashusha rungu apo