Huu ni Upunga au ndo maigizo ya kimono?

Apr 26, 2016
64
25
Ninaomba msaada wenu hapa kwa hii caption je? Maigizo ama wanahimiza Ndoa za Jinsia moja? Me nacheck hii movie sasa nipate tafakuri na nyie mnipe mawazo yenu.
 

Attachments

  • 1463764276952.jpg
    1463764276952.jpg
    9 KB · Views: 60
We must, however, acknowledge, as it seems to me, that man with all his noble qualities... still bears in his bodily frame the indelible stamp of his lowly origin.
Cjakupa baba hata kidogo,hapa sms imeishia hewani rudia kwa kilugha chetu kwanza ninywee maji
 
Sijui ni macho yangu lakini nimeona ka walikuwa wanakwidana hivi naye mpiga picha akaifuma hiyo pozz. Nasema sijui but, it is really disgusting ka ni mijitu ya kikwetu. Hebu ona, yalivyojaa halafu kumbe yanafanya mazoezi ya kulambana. Yatia kinyaa sana
 
weka jina la movie au video clip ili tupate pa kuanzia. 80% ya taarifa za mitandaoni huwa ni uongo. Kuepusha hili weka vitu sawa ili sheria ichukue mkondo wake. Hii kitu haikubaliki mbinguni na duniani
 
Back
Top Bottom