mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,694
Wadau haya twende kazi nani unayemuona zaidi ya mwingine kati ya mpoki na joti matangazo ya mitandao ya vodacom na Tigo,
Mi kwangu mpoki kwenye hili tangazo la vodacom la "Hapa kasi tu"jamaa anajua kukomvice watu kile anachokitangaza naona anafaa sana na vodacom hawajakosea kumtumia,
Na kwa Joti mi naona naye anajitahidi ila kwa entertainment ndo panamfaa zaidi ni maoni yangu tu sijui nyie wadau..???