Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wazee wa kodi mpo? Haya, msemo huu pengine mshausikia mahali au sio? Au niulize tu, maneno hayo yamo kwenye wimbo gani? Kama ushaujua basi tuendelee kimya kimya tusiwape faida wasiohusika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Vanessa mdee ni msanii pekee wa kike wa Tanzania anaefanya vizuri Africa kwa ujumla, ukichukua wasanii 5 wakike bora africa kwa sasa huwezi muacha vanessa mdee hata nominations mbalimbali za tuzo...
11 Reactions
63 Replies
10K Views
Hivi watanzania mfanyiwe nini??? leo kweli unadiliki kuingia kwenye show ya diamond kwaajili tu yakumrushia chupa na kuzomea.hunashindwa kuwa nashukurani hata kidogo kwa mazuri aliyolitendea...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na...
3 Reactions
147 Replies
24K Views
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA...
2 Reactions
98 Replies
14K Views
Muigizaji Wema Sepetu kupitia account yake ya Instagram ameonyesha nia ya kumuombea kura mpnz wke wa zaman Diamond Platimumz kwa kuandika maneno kadha japo hakumtaja kwa jina wala kuweka picha...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Ukinitoa Mimi tu humu na baadhi wawili watatu hatumo kabisa katika huo mkumbo wa " UMBEA " ambao umewakumba members wengi humu juu ya SAKATA zima lililokuwepo hapo kabla. Ni kwamba wiki mbili...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea. Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii...
7 Reactions
52 Replies
10K Views
Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, hivi sasa yupo na mrembo raia wa Ethiopia...
3 Reactions
30 Replies
16K Views
September 2015 ilikuwa hivi Leo April 27 2016 yamekuwa haya
0 Reactions
52 Replies
13K Views
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na...
2 Reactions
28 Replies
35K Views
Habari, Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo...
13 Reactions
113 Replies
30K Views
Mwaka huu Beyonce ametengeneza vichwa vya habari duniani si tu kwa kushtukiza tena kwa album mpya ‘Lemonade’, bali kwa jinsi alivyoamua kuitumia kuelezea kwa mara ya kwanza skendo ya muda mrefu...
7 Reactions
15 Replies
5K Views
Katika hali isiyotegemewa nimeona Mh sugu aka kinega akiwa a me post katika ukurasa wake wa insta kuwa leo ijumaa atafanya ziara Cloudsmedia group. Tuseme clouds ndiyo empire hawamshindwi yeyote?
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Ujumbe huu ni wa kwako Wema Abrahamu Sepetu. Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya. Video hii inasikitisha...
11 Reactions
603 Replies
194K Views
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini? Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…