Wema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,895
Muigizaji Wema Sepetu kupitia account yake ya Instagram ameonyesha nia ya kumuombea kura mpnz wke wa zaman Diamond Platimumz kwa kuandika maneno kadha japo hakumtaja
kwa jina wala kuweka picha yake
Caption ya Wema ilikuwa na maneno haya.

"Uzalendo ndo unaotakiwa... Tanzania Kwanza Vingine Baadae... Ama nene...? Vote Vote Vote...."

1554d361cbabbf019ae7b3477ed0bc98.jpg
 
wema amekuwa mwema kwa hili, hongera kwake. utanzania kwanza MAPENZI baadae.
 
Huyu demu atabiriki yupo kama kinyonga, muda wowote ana change ( unaweza kukuta hapo kaandika hivo ila kule twitter,whatsu,snap akaandika vingine) na hiko ndicho wale "wenye timu yao" huwa hawataki kumuelewa. Ingawa inawezekana kweli anataka kubadilika ila kama ni kweli anataka kubadilika asichoke wala asikate tamaa na aiambie "timu yake" kwa sasa yeye kaamua kubadilika.
 
Nadhani baadae hao wawili watarudiana tu! Kuna kitu common wanakijua sio bure au wanakishare. Anyway amekua kiakili sasa inaelekea au itakua kafulia pia,au kaamua kuwa mzalendo yote yanawezekana.
 
Huyu dada sijui alilishwa nini na diamond.

Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.

Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.
 
Hakuna uzalendo katika hili kama anastahili mpigie kura kama unamuona mnigeria yuko juu mpigie kura ndio utapata mshindi halali by merit sio uzalendo.
 
Muacheni mdada wa watu afanye anacho penda kufanya ampigie kura mtz mwenzie ndo uzalendo mlitaka ampigie mnigeria anamsaidia nn kwenye nchi yake afu kuachana kwa wapenzi sio uadui wema mzungu wa roho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom