MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Kama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na sauti ni zile zile hivyo kushindwa kujua ni sura gani inahusika na sauti gani katika maigizo yao ya kuchekesha (comedy). Nifafanulieni kwa wale mnaowajua vyema. Ahsante.