Pete ya uchumba ya Jacklyn Wolper

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,558
12,335
September 2015 ilikuwa hivi
ImageUploadedByJamiiForums1461746593.545486.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461746619.562125.jpg


Leo April 27 2016 yamekuwa haya

ImageUploadedByJamiiForums1461746676.352309.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461746687.867768.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461746702.186126.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461746716.504067.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461746727.936354.jpg
 
Wanadamu kila mtu na ladha yake.....vitu kama hivi nadhani ni vitu binafsi mno,ni vya ndani.
 
Ni funzo kwa watu wote,
Ameongea vzr sana Jack,

Kama huyu Rose naona kavalishwa pete 6, na ndoa anaisikia kwa wenzie tu.

Na haya mambo ya girlfriend na boyfriend kuitana Mume wangu sijui Mke wangu ni kujichulia tu.
Kuweni makini sana.
 
Wolper anaishiaga kuwatambulisha tu wanaume zake, wanaume wanaingia mitini asipoangalia mcongo nae ataingia mitini sijui kwanini hawaoani
Nilisikia wanasema ana kiharufu fulani hivi mashineni ambacho kinakinahisha. Kuna uzi huo humu jamvini, kama anayo hiyo link aiweke.

Yetu macho ngoja tusubiri
 
Haya ndio matokeo ya kuvishana pete za uchochoroni eti surprise!
Wazazi hawana hili wala lile wanashangaa kusikia mtoto wao kavishwa pete ya uchumba,mwanaume hata nyumbani hajulikani.

Na mdada akishavishwa hiyo pete ya uchochoroni ndio anajiolesha kabisa,kila kifanywacho na mke wa ndoa anakifanya.
Huyo mwanaume atakuoa kwa misingi gani?
Tubadilike wadada,haya mambo ya show off kuwakomesha mashoga na ma ex zetu yakome sasa.
La sivyo tutabaki kulia kila siku.
 
Inanibidi niendelee kucheka mpaka pale nitakapompelekea maneno km hayo mwanamke mwenzie wa pande hizi!. Ha ha haaaaaah!, Majuto ni mjukuuu!. Angemuombea mchumba wake na wala sio kutoa mineno yote hiyo mtandaoni, km anamwamini Mungu kwanini asimwamini hata kwa hili na asonge mbele, wanawake kwa kulia lia ni hatari!!! hata Mungu huko juu mbinguni atakuwa anapata shida kuwaonea huruma enyi viumbe
 
nadhani kuna kitu inabidi ajifunze kwa Wastara,
Wastara huwa hatuoni pete lkn huwa tunaskia kaolewa au kaachika,namkubali sana wastara
 
Back
Top Bottom