DaJane
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 223
- 622
Ujumbe huu ni wa kwako Wema Abrahamu Sepetu.
Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya.
Video hii inasikitisha. Kama anaweza kujirekebisha ni vyema akafanya hivyo.