Sugu asanda, aipromoti Clouds na leo ataunguruma Clouds 360

Kwahiyo ulitaka waendelee kugombana/kulumbana.

Hupendi watu wakipatana?
 
Hela yake si alipewa, sa bifu La nini? Ruge ndo alisanda akampa chake baada ya kuona mziki mzito
 
Baada ya vita Vya muda mrefu ya Clouds Media Group na Joseph May Mbilinyi a.k.a Mr. Sugu hatimaye Leo Clouds TV wanapiga wimbo wake na yuko studio live kwa ajili ya interview.
Updates zitaendelea kudondoka kama risasi za rasharasha
 
Naamini hata siku moja both Diamond au Ali Kiba atakuja kumzungumzia mwenzie vizuri kama leo hii Sugu anavyomzungumzia bwana Jo Kusaga.
Beef zinamfanya mmoja apotee,inabidi wote wawepo ili kugenerate pesa zaidi.
YNWA
 
Sugu anaulizwa kama ana bead na Kusaga, kasema hana uadui na Kusaga personally, na amemshukuru kwa kumualika studio.
Kayapongeza mafanikio ya Kusaga kutoka kwenye kastudio kadogo hadi kumiliki media house kubwa
 
Back
Top Bottom