Kiba ampigia debe Diamond

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,310
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
 
Wabongo wanapenda watu wagombane, bila hivyo paji zao za insta zitakosa followers na matangazo.
 
fufan base st: 16284774 said:
Wakiunganisha fan base Diamond anachukua hii tuzo
Kiba hana fanbase kubwa kihivyo kama unavyodhani. In fact, fans wa Kiba ni matokeo ya maadui wa Diamond kama mademu aliowapitia zamani etc. In other words, asilimia kubwa ya fans wa Kiba ni fans wa Wema Sepetu na Jokate. Sasa hao wa kazi gani watu walioshindwa maisha. Huyo Kiba aachane na Diamond aendelee na kulinda tembo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom