Travibela
Member
- Mar 10, 2016
- 76
- 58
Wazee wa kodi mpo?
Haya, msemo huu pengine mshausikia mahali au sio? Au niulize tu, maneno hayo yamo kwenye wimbo gani? Kama ushaujua basi tuendelee kimya kimya tusiwape faida wasiohusika.
Einsten wa Tz ambae hivi karibuni akishirikiana na swahiba wake wa longi, Mzee wa Biashara, kwenda kukomalia GOTI kwa majistreti ili walipwe mtonyo wa ngoma zao 2, ameonyesha jeuri ya maandalizi ya Lotto Kitita atakachokiweka kibindoni soon..
Kumbe ambao hatukuwa na taaarifa mapema, huu mchongo na jeuri ya kuandaa Milki ya Kisiwa cha Mbudya ilitokana na kupata assurance kutoka kwa Advoketi wao kuhusu uhakika wa kushinda kwa pilato ikizingatiwa Adivoketi anayesimamia kidete cha GOTI naye ameshakuwa kompromaizd na kuahidiwa a handsome share..
Nisiingilie huko sana, ila nataka kuwauliza hapa. Je mnajua ni nani aliyeambiwa 'Ipo siku utaniheshimu au utaheshimu hela zangu'.. Na tatizo lilikuwa ni nini?
TATIZO NI KIATU!