Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
xbaby-weezy.jpg.pagespeed.ic.4QOvDnuzqh.jpg

Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni.

Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai yaliyotolewa na Wayne ya kutaka Cash Money imlipe dola milioni 51 na yalifanyika mwezi uliopita. Baada tu ya mazungumzo hayo kumalizika, Weezy alipiga picha na Rick Ross na Trick Daddy ambao wamewahi kumdiss Baby siku zilizopita.

Walipiga picha hiyo walipohudhuria show ya ‘Formation World Tour’ ya Beyonce mjini Miami. Wayne na Birdman waliaminika kuungana tena January mwaka huu. Birdman aliahidi pia kuwa wangerudisha ukaribu wao.

Wayne anataka kujiondoa Cash Money na anataka imlipe fedha anayowadai.

Source: Bongo 5
 
Mkuu lil wayn keshaondoka sio anatakata kuondoka...usikilize wimbo wake wa glory haleluya
 
dah lakini huyu lil wyne mbona inaonesha kama hawez kusimama alone without cash money support, kama sio hvo bs akiwa mbali na cash money nyota yake haing'ai. mana ni kama anakufa kimuziki
 
dah lakini huyu lil wyne mbona inaonesha kama hawez kusimama alone without cash money support, kama sio hvo bs akiwa mbali na cash money nyota yake haing'ai. mana ni kama anakufa kimuziki
Me sijui sana walikuwa wanafanya vipi kazi, ila naona wote kama walikuwa wanabebana, Birdman alimtoa Wayne ila ilifika stage kama Wayne ndio alikuwa anaibeba sana Cash Money, daah ila Wayne before ata bifu kuibuka me nilishaona kama kapagawa tu maana vitu anavyoimba siku izi aisee asikiliziki ata kidogo.
 
Asa Rick Ross ana nn cha maana all a nigga raps in lies lies lies, design style yake inakubalika flan hivi. Anajikuta tajiri wakati hana hata half networth ya weezy au justin bieber, just one of diddy's puppets.

Mi nafkiri Lil Wayne asingeindoka cash money instead ye wayne na birdman wange revise makubaliano yao. Labda he thinks akiondoka na teaming up wit drake, tyga & nicki minaj they might grow into something bigger & much powerful nd that birdman was only leveraging on them.

(Birdman is trying to build young thug, sijui perhaps awe substitute wa wayne. I dnt kno sifatilii sanaa)
 
dah lakini huyu lil wyne mbona inaonesha kama hawez kusimama alone without cash money support, kama sio hvo bs akiwa mbali na cash money nyota yake haing'ai. mana ni kama anakufa kimuziki

Unaposema hawezi kusimama peke yake una maana gani? Kama aliweza kuibeba Cash Money peke yake baada ya Juvenile, BG, Turk na Mannie Fresh kuondoka kwa nini ashindwe? Kumbuka pia kuwa Weezy amewatoa Nicki Minaj na Drake kupitia Young Money. Kinachomkwaza Weezy ni mkataba alionao Cash Money basi, na Birdman hawezi kumuachia kirahisi. Siku Weezy akiwa free kutakuwa na vita kati ya major record labels kumgombania!
 
Ilibaki kidogo tu Wayne a-sign chini ya Jay-Z back in the day. Jay alifanya utu tu kwa Birdman. Pengine kama hiyo deal ingekuwa, tusingekuwa na retarded version of Wayne leo.

"B!cth niggas go behind your back, like nunchucks/". Seriously??
 
Weezy hata akiwa free anataka kuwa independent. Trust me ukifika level ya wayne alaf ukawa independent utapiga hela kimbwaa kwa soko la mziki US nd world wide...u make ur own deals and can release content anytym taking advantage of market movements nd media trends plus u'll like own copyrights to ur content hela nyingi sanaa za hawa majamaa wanazo make zinachukuliwa as commissions.

Hujiulizi kwann 50 Cent lately amekua akiandamwa sanaa na kupata legal problems cz he z independent now they wanna f*ck him up...uzuri msela ni mbishi sanaa nd very cunning.
 
I don`t think it works that way Bro! The way music business ilivyo, lazima uwe na record label nyuma yako otherwise major artists wote wangekuwa independent. 50 Cent sasa hivi yuko Capitol Records, hayuko independent. Kutengeneza muziki na suala moja na kuuza muziki ni suala jingine, unless you have hundreds of millions up front. And if you ask me, the main culprit in 50 Cents legal problems is himself, nobody wants to f*ck him.
 
I don`t think it works that way Bro! The way music business ilivyo, lazima uwe na record label nyuma yako otherwise major artists wote wangekuwa independent. 50 Cent sasa hivi yuko Capitol Records, hayuko independent. Kutengeneza muziki na suala moja na kuuza muziki ni suala jingine, unless you have hundreds of millions up front. And if you ask me, the main culprit in 50 Cents legal problems is himself, nobody wants to f*ck with him.
That is correct. Nafaham

Ila huoni wanavyo m blackball his power show they are killing his media presence as per say like they are kind of trying to make his stuff look like it aint shit no more hyo directly ina affect his business attempts...

Mkuu at some point lazma tukubali hii music industry kuna watu flan flan wazito wanaweza kushirikiana kukuangusha/kukubania...all because umeingilia interests zao kwa namna moja au nyingine good example ni hyo SMS audio yake ilivyo anza na kua a direct competitor of beats (nazani tunajua wamiliki wa beats electronics wamekua na impact gan kwenye carrier ya 50)

Plus hii strayegy mpya ya 50 ni distribution ndio ana share some profits ila he now like owns 100% of his content after leaving aftermath. Ndio maana akamwambia hata Jay Z na hyo tidal yake....whats the point of patnering with many artists if they dnt own the rights to their content labda ni vile like ananunua influence yao nd all.

Sikiliza " Changes - 50 Cent Ft. G Unit " utanielewa zaidi.
 
That is correct. Nafaham

Ila huoni wanavyo m blackball his power show they are killing his media presence as per say like they are kind of trying to make his stuff look like it aint shit no more hyo directly ina affect his business attempts...

Mkuu at some point lazma tukubali hii music industry kuna watu flan flan wazito wanaweza kushirikiana kukuangusha/kukubania...all because umeingilia interests zao kwa namna moja au nyingine good example ni hyo SMS audio yake ilivyo anza na kua a direct competitor of beats (nazani tunajua wamiliki wa beats electronics wamekua na impact gan kwenye carrier ya 50)

Plus hii strayegy mpya ya 50 ni distribution ndio ana share some profits ila he now like owns 100% of his content after leaving aftermath.

Sikiliza " Changes - 50 Cent Ft. G Unit " utanielewa zaidi.

Nimekupata Mkuu.
 
huyo wizy atoke tu akalale.. kuna jamaa yangu mmoja wa kuitwanga Young Thug a.k.a attention seeker huyo ndo dawa yake
 
huyo wizy atoke tu akalale.. kuna jamaa yangu mmoja wa kuitwanga Young Thug a.k.a attention seeker huyo ndo dawa yake
Young Thug ain't got shit on Weezy and I'm not even a Weezy fan. Young Thug needs to generate a catalogue first then he can compare himself to Wayne!
 
Back
Top Bottom