Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,277
- 5,838
Habari,
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.
Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.
Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.
Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.
Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.
My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.