Haya mashindano aliyoshinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?

Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na wimbo wa Raymond Natafuta Kiki,ukisema ukimbilie huku utakutana na Harmonize na Clip yake akisakamwa yaani vurugu tupuuuu! Watu wamesahau hata kama Alikiba Alitoa wimbo Wa Aje wiki moja iliyo pita,wameshasahu kama Alikiba anaendelea Ku announce major announcment,wameshasahau hata annoucment alizo zitoa!

Sasa mimi sielewii naona tuuu videos kibao za Mond akicheza hakika anajitahidi na pongezi kibao kwa Diamond kuhusu huu mkanda alio uchukua mwenye kuujua Tafadhari
c4ce0ac29a0ec93ab6d2864d94f8af14.jpg
 
Lip sinc battle sio kitu serious. Hii Ni Kama comedy TV show ambayo celebrity tofauti wanakuja kushinda kwa kuigiza kuimba na kucheza nyimbo za wasanii tofauti na hadhira inaamua mshindi kwa kunyoosha mikono Tu.
Waafrika hawana dogo au tuseme ugeni wa mambo lakini hili kipindi kimeanzia Marekani na host wake Ni LL Cool J na Chris Tegen na wala sio kitu cha kubishana kuwa flani Ni bingwa kwasababu sio serious issue
 
Weka link tuoanishe na ulichoandika
 
Sasa hivi NIMEWAELEWA team kibanio wanapoona kitu kutoka WCB husema hivi " HIYO NI KIKI YAKUFANYA NYIMBO YA KIBANIO ISI HITI" kumbe ni kweli kukiwa na kitu chochote kinachoendelea kutoka WCB basi kitafunika kila kitu,pole sana ASIJE timu kibanio ilikupenda sana, lakini WCB wamekupenda zaidi.
 
Weka link tuoanishe na ulichoandika

This is a countdown of the best performances on Lip Sync Battle, featuring the likes of Kaley Cuoco channeling the queen of lip sync, Britney Spears, to Channing Tatum going all out as he takes on Beyonce.

Baba tifah tuhurimie mashabiki wa prince teh
Teh Teh
Mimi na binti kiziwi tulivyo mashabiki wa prince tulizimia mara tatu baada ya kusikia tusiyempenda amepata mkanda tena kama wamieleka basi na sisi lazima tuanzishe wa kwetu hapa kariakoo!

Unajua bwana Mungu ni wa ajabu sana unapo endelea kumchukia mtu ndio unazidi mkumbariki!
 
Ha ha ha mkanda wa kariakoo lol
 
Hakuna kitu tunachohitaji kwa wasanii wa Tanzania huko nje zaidi ya jukwaa... jukwaa la mtu kuonesha uwezo wake! Hili Shindano la SLBA unaweza kuliona kama dogo lakini impact yake ni kubwa sana. Kupata jukwaa kwenye foreign country ndani ya ukumbi full of people halafu unafanikiwa ku-impress watu c jambo dogo! Am certain pale kuna watu kibao waliomuona Diamond kwa mara ya kwanza jukwaani na kama walikuwa impressed nae tayari washakuwa mashabiki wake hao!
 
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?

Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na wimbo wa Raymond Natafuta Kiki,ukisema ukimbilie huku utakutana na Harmonize na Clip yake akisakamwa yaani vurugu tupuuuu! Watu wamesahau hata kama Alikiba Alitoa wimbo Wa Aje wiki moja iliyo pita,wameshasahu kama Alikiba anaendelea Ku announce major announcment,wameshasahau hata annoucment alizo zitoa!

Sasa mimi sielewii naona tuuu videos kibao za Mond akicheza hakika anajitahidi na pongezi kibao kwa Diamond kuhusu huu mkanda alio uchukua mwenye kuujua Tafadhari
c4ce0ac29a0ec93ab6d2864d94f8af14.jpg

Sisi inatuhusu nini???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom