juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.
Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine waliofariki huwa hawapewi siku ya kumbukumbu isipokuwa Mangwea tu??
Mbona hii redio ina ubaguzi sana? Huyo Ngwea haiwezekani aonekane ni legend saaaana, wakati hata Langa, John mjema, Mr Ebo,James Dandhu,,Mez b,n.k ni malegend kuliko Ngwea na hatuwawekei kumbukumbu??
Hii redio ni ya ajabu kupitiliza, wana unazi sana