Mwanamuziki Diamond Platinamuz atafanya show nchini Australia kuanzia tarehe 15 16 na 17 July katika miji ya Melbone Sydney na Peth, kiingilio kitakuwa laki tatu za bongo kwa kichwa na ticket...
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi...
Hawa jamaa naona hii collabo yao inaweza kuwa gumzo kwa staili waliokuja nayo, nimeona clip zao kwa kweli wanaonyesha ubunifu flani hivi wa kuvutia kiaina, huyu Katarina wa Karatu daah, ni bonge...
Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka
Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi muda mfupi baada ya Profesa Tibaijuka kufungua mkutano wa Kimataifa unaohusu upatikanaji wa...
Matonya ni mwanaume anayejua kuhonga, kwa mujibu wa mpenzi wake, Gigy Money.
Akizungumza katika kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jumapili, Gigy aliweka wazi mahusiano yake na Matonya ambapo...
Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari kurudiana kimapenzi na baba watoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, ila yupo tayari kuzaa nae mtoto wa pili...
Zari the bosslady ameamua kumwaga mboga, kutoboa sufuria na kuzima moto kwa vikurumbembe wamaomsema anavaa kigodoro kwa kupost picha inayoonesha "ze utamu" live.....
Duh hii kali mama tupe nusu
Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima...
Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilieni tu mtajua nyendo zake, kwa sasa...
Nimeliona hili na nikaona si mbaya kushea na wanajamii!!
Tanzania tumebarikiwa vipawa vya wanabongofleva vya kutosha na maridhawa kabisa!! Tumekuwa na wanamuziki wazuri hasa na kwa uchache...
LAS VEGAS — The newly crowned Miss USA is a 26-year-old Army officer from the District of Columbia who gave perhaps the strongest answer of the night when asked about women in combat.
"As a woman...
Man Fongo na Shollo Mwamba ni watu walio jipatia umaarufu kupitia singeri uliza bodaboda yeyote atakwambia
Sembe Tembele,Hainaga Ushemeji,Achia bodi,Tekenya,Hauna ni baadhi ya Singeri ambazo daaa...
Habari wanachama wa JF.!!
Katika pitapita yangu ya pages za wasanii wa bongoflavor ambao ni WAISLAMU sijaona angalau post inayohusu kuhukaribisha MFUNGO WA RAMADHANI.
Mfano wa msanii/wasanii...
Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent" pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon. Kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue.
Kwa sasa "single" yake...
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini...
Mama Nasibu Athibitisha kwa Maneno haya
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina TIFFA
Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz...