AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,041
Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilieni tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilieni page zake kwenye social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?