Diamond Aongeza Nyumba nyingine

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba

Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba
df8fc823341a182282dc23b4139baf79.jpg
 
ikiwa mtu hajaamua kuweka vitu vyake wazi haimaanishi kwamba hana, mbona hesabu simpo tu hiyo, au mnataka kila mtu awe kama d
 
Sasa ina tuhusu nini
 
I love them ...but I just don't understand why they're having such a problem finding the house when they can have something built from the ground up that is their dream house with as much money as they have!!! Wish it. Had that problem!!
 
Huyo ni msanii, kama wewe siyo jamii yao utakuwa wa ajabu sana. Kwa wasanii na hata jamii wanahamasishwa katika mambo mengi
1. Kujituma
2. Ukipata wekeza kwa maisha ya baadae
3. Wahamasishe wenzako na jamii ili waheshimu muziki kuwa ni kazi kama kazi nyingine.

Usiingie kwenye kundi lisilokuhusu utaumia kwa chuki isiyo na maana.
 
poa poa mkuu, enjoy
 
I love them ...but I just don't understand why they're having such a problem finding the house when they can have something built from the ground up that is their dream house with as much money as they have!!! Wish it. Had that problem!!

Are you ke/me??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom