ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Man Fongo na Shollo Mwamba ni watu walio jipatia umaarufu kupitia singeri uliza bodaboda yeyote atakwambia
Sembe Tembele,Hainaga Ushemeji,Achia bodi,Tekenya,Hauna ni baadhi ya Singeri ambazo daaa mjini Dasilamu zinapigwa mbaya mbovuuu,na zikipigwa zile Beat zake kama mwanaume lazima utingishe kichwa na kama ni wa kike utajikuta kiuno kiuno kikicheza chenyewe bila kulazimishwaa!!
Nashangaa Singeri imepata umaarufu mkubwa na wa haraka sanaa hapa Bongo kuanzia kwa Dereva bodaboda hadi kwenye Magari makubwa,Singeri ilianza kama utani hivii kwenye Vigodoro na watoto wa mjini wale wa club wakadharau lakini sahizi Singeri ya Man Fongo na Shollo Mwamba imeingia rasmi Club! Walipiga show Bubu wakati Singeri inaanza lakini sahizi Shollo Mwamba na Man Fongo wanapiga Show nyingi kuliko Abdu kiba,Kuliko Matonya na wengine wengi tuu!!
Japo ni show za chaka kwa chaka lakini sahizi kunogesha Show yoyote ile hapa bongo basi Singeri lazima zipigwee,Pamoja na kuwa wadau wanauponda huu mziki kuonekana kama hauna starehe lakini ukweli ni kwamba wanaukaa mdomoni Moyoni wanaukabri na chumbani wanajifungia wakicheza
Singeri imekiki haraka sanaaa na nina itabiriaa vitu vikubwa sanaaa,Ni wakati wa KTMA kuangalia ni tuzo gani zitawafaa watu wa singeri nao waingie katika kugombania Tuzo!!!.... Singeri sasa inapata Airtime ya kutosha kwenye vituo vingi vya radio hapa nchini!!
Man Fongo na Shollo mwamba naona kwa sasa ndo wapo katika ubora wao kwa kuimba Singeri hapa Bongo!!
Nawatakia Mafanikio mema kupitia Singeri!