Mrembo Gigy Money atoa sababu za yeye kumpenda Matonya

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
Giggy-Money-na-Matonya1-559x520-530x493.jpg

Matonya ni mwanaume anayejua kuhonga, kwa mujibu wa mpenzi wake, Gigy Money.

Akizungumza katika kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jumapili, Gigy aliweka wazi mahusiano yake na Matonya ambapo alimpigia simu ‘live’ redioni na kuzungumza kimahaba huku akijinasibu kwa dhati kuwa Matonya ni miongoni mwa wapenzi wake wanaohonga vizuri.

“Nimechoka kuulizwa kila siku juu ya Matonya ngoja nimpigie umsikie mwenyewe (anampigia)” alisema Gigy na kumpigia simu Matonya.

“Unajua nampenda sana Tonya kwa sababu anajua kuhonga aisee, namuelewa sana yani,” alimaliza.
 
Matonya kutafuta kick kutamfikisha pabaya..aliwahi kujizushia kifo...kumbe anataka kuachia wimbo... Wimbo wenyewe ukabuma..

Bongo kweli nyosso
 
Matonya juzi alikuja huku kwetu Bukoba watu tuliohudhuria show sijui ishirini dah, mziki mgumu!
 
hakuna kitu kibaya kama kutokujithamini na kujikubali

Na njia za mkato ndio zinazomponza gift
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom