Wema Sepetu brand is worth billions

Japo ume copy na kupesti, ni bora ukaedit kidogo kuweka paragraph ili habari yako isomeke kwa urahisi
Mimi ndo mwandishi halisi wa uko uko ulipoikuta... Post zangu zote IG na jamiiforums mm ndo mwandishi.. Nenda IG @frankestainpastory na humu Jamii ni same name na ikikuta post zangu kokote wote wametoa kwangu.. Sema sijaweka signature ndo mana wasema ivo..na kimsingi ni mwendelezo wa post yangu ya jana yenye kichwa "Nyimbo za Wema zingeuza zaidi ya Alikiba nakushindanishwa na Diamond kama angekua mwimbaji... Gat it!!
 
Thank you for this Information. I
can now go to bed! This was
stressing me out so much!
 
Yaani umeandika makala nzima kwa ajili ya Wema Sepetu? Kweli wanaume tuko wa aina tofauti.
 
Mimi ndo mwandishi halisi wa uko uko ulipoikuta... Post zangu zote IG na jamiiforums mm ndo mwandishi.. Nenda IG @frankestainpastory na humu Jamii ni same name na ikikuta post zangu kokote wote wametoa kwangu.. Sema sijaweka signature ndo mana wasema ivo..na kimsingi ni mwendelezo wa post yangu ya jana yenye kichwa "Nyimbo za Wema zingeuza zaidi ya Alikiba nakushindanishwa na Diamond kama angekua mwimbaji... Gat it!!
Wakuwache hata kama umecopy, huko ulipocopy sio wote tumepita huko tunaona, usingetupestia hapa sisi tungeyaona lini haya, anyway asante kwa uchambuzi yanikifu, u said it all, wenyewe wanasemaga the NAKED TRUTH
 
Watu wanatukana bila kuelewa nasema nini. Kimsingi Alikiba ni talented huwezi kubisha labda utakua na matatizo binafsi,. Utaniuliza kama hao fans wa Alikiba 80% ni all @wemasepetu doing mbona Mirror under Endless Fame hajafanikiwa?

Kinachomponza Madam ni trusting the wrong people. Team Wema wako radhi wajiunge bando la mwezi tena wakutukane mpaka ujione choo lakini linapokuja swala la kupromote Lipsticks za madam hawana MB .Vivyo hivyo kwa Mirror vile team Wema wanavyomposti Alikiba wangekua wanafanya kwake angefika mbali.

One n only and Buguruni by Mirror were #massivehits but failed.Sisemi waache kumsapoti hapana there's an old saying my mama taught me "Charity Begins At Home'.Kimsingi team Wema wengi wana stress na chuki towards Chibu na only way to hurt him was showing full support kwa Alikiba the same happening today, #WizkidCampaign.

Believe me kile kipindi fans wa Chibu walikua vulnerable na Kiba akutumia chance ile vizuri. Wema influence came right up #RoadToKTMA15 State House Kingdom was at stake.It was a very painful experience to @diamondplatnumz fans, ultimately got strong n aggressive there after nadhani ushahidi mnauona.

Mashabiki wa Wema ain't loyal,Madam angekua moja wa richest celebs in our country, she has it all,Fame,Power, Influence what else can she ask for, Loyal fans? Kwann @diamondplatnumz anaendelea tena kwa mwendo kasi sababu ana right people to trust atm, fans wake very supportive ndo mana kila siku @wcb_wasafi haikatiki masikioni kwetu.

Kwanini Madam hapati endorsements deals nyingi wakati ana kila sababu ya kua ambassador wa hizo brands. Coming up Lipsticks #KissByWema was n the recent Mobile App excellent moves but ayo yote hayawezi kufanikiwa kama uko na jopo kubwa la kukushabikia kwenye nonsense stuffs.

Using Wema as brand to get money from some cheap business Ad. Mwisho wa siku utafanya unrealistic assumptions of future earnings which is a failure. @wemasepetu you are #AllTheWayUp mapokezi yako kila uedako ni makubwa kuliko hao wasanii only Chibu can beat it. Your appearance worthy millions do something about it for God sake. Use Wema Sepetu as brand wisely many are envy on the name.
In the image looks like this
b6c3721ef3eba92818cf6088adb228b0.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom