Nyimbo za Wema zingeuza zaidi ya Alikiba na kushindanishwa na Diamond kama angekuwa mwimbaji

Ukweli mchungu kwa Team Kiba.

Wamepiga ramli kwenye tuzo za BET ila wameangukia pua mpaka sasa masaa yamebaki machache kupigwa kura kufungwe, na kati ya kura zote Diamond kapata 53% zilizobaki ndio wamegawana washindani wake...
 
Well said, Team KIBAKULI wanahitaji sana sapoti ya ugomvi wa Sepetu na Platnumz ili wapush muziki wao. Wakubali tu Fanbase ya Platnumz ni kubwa kuliko.
 
Hiyo ndio dua yao na Kiba na mashabiki wake wanalijua hilo, usiwaone wanatukana lakini wakifika kwa huyo dada wanamwamkia.( ni kama wanamwambia endelea kuchochea,kile ki dada kinamambo ya hovyo lakini kina kundi kubwa mno)
 
Wema anakundi kubwa sana nyuma yake, lakini sijui wanampenda au wanamuonea huruma. Uwezo wa hilo kundi kubwa unaleta ukakasi katika kupromote biashara za wema (lipstick vepeee) nina wasiwasi na hili kundi kubwa lililopo nyuma ya huyu dada.
 
Wema hawezi kupata tabu yote hiyo, sijui kupoteza muda kuandika mashairi akeshe studioni au avutane mashati na mapromota na watangazaji wa radioni ndio aendeshe maisha yake labda wanaume mabwege wote mjini wafe. We unajua dau lake kwa one night?
 
Na huu ndio ukweli wenyewe, NIMESHANGAA KUONA KUNA MTU ANAWAZA KAMA MIMI. UKWELI ni kwamba team kiba kama wao, (die hard fans wanajiitaga wenyewe) an't a shit kwa dai, team wema ndio wanaomuweka kiba mjini, NA HII IMEJIDHIHIRISHA WAZI WEMA ALIVYOPOST BET VOTE VOTE VOTE team wema almost all WAKAWEKA MIGULU SAWA WAKAANZA NAO KUVOTE VOTE VOTE,na kauli za MADAM KASEMA zikisindikizia votes, NI WACHACHE SANAAAAA. Waliomponda wema na KUKAIDI AGIZO LA MADAME (WALIOKOSA ABADU HAWA (team KIBA)) SOME ONE TO PROVE ME WRONG! HIZI HEKA HEKA ZA VOTE FOR WIZKID is it the same na zile za VOTE FOR DAVIDO????? This means basi kwenye KTMA WEMA akiamua kusema hayaaaaaaaa all my team geuzieni dish WCB then VOTE VOTE VOTE kiba ataangukia pua, BISHENIIII!!
 
Wema anakundi kubwa sana nyuma yake, lakini sijui wanampenda au wanamuonea huruma. Uwezo wa hilo kundi kubwa unaleta ukakasi katika kupromote biashara za wema (lipstick vepeee) nina wasiwasi na hili kundi kubwa lililopo nyuma ya huyu dada.
Hili kundi lipo kivita zaidi, wao wape mtu wamtukane bandle linawekwa na mwezi, na kunakuwepo na full mnara wape kiss wapost bandle linarudi kwenye mb 8 mnara unascrach
 
Huu ni ukweli mchungu japo si mpenzi wa hizi team ila kiba afanye mziki mzuri na aache kusafiria nyota ya D

Kiba kwa sauti hakuna msanii anafata nyuma ila kinachonikera anataka kumtumia D kama ngazi kitu ambacho sikikubali hata kidogo
 
Well said, Team KIBAKULI wanahitaji sana sapoti ya ugomvi wa Sepetu na Platnumz ili wapush muziki wao. Wakubali tu Fanbase ya Platnumz ni kubwa kuliko.
And why wanamuongelea kiba kama mtu flani wakuonewa huruma na dizaini kama wanaomba aachiwe goli afunge? Yule dougie kaandika vitu vya ajabu kule IG.
 
Hili kundi lipo kivita zaidi, wao wape mtu wamtukane bandle linawekwa na mwezi, na kunakuwepo na full mnara wape kiss wapost bandle linarudi kwenye mb 8 mnara unascrach
Kiukweli kwenye social media kiafrika afrika Tz tunaongoza ila kwenye sapoti(biashara) tuko nyuma sana

Leo shilole ana follower milioni na nusu wakati kuna wasanii wakubwa afrika na hawajafika hao followers
 
Kwetu Tz tumewekeza sana kwenye instagram coz ndio mtandao ambao ni mwepesi kutumia kutokana na lugha gongana pia una content ambazo wengi wanapenda km vile videos na picha za watoto wakali na kila mbongo akinunua simu social network ya pili baada WhatsApp ni insta, tofauti na nchi zingine km nigeria, SA na ata kenya wao mtandao wao wa pili ni Twitter, ndomana utagundua kuwa diamond anaongoza nazani africa kwa follwers wengi insta ila haingii ata top 50 ya wasanii wenye follwers wengi Twitter, wanaija wapo vizuri sana twitter m2 km wizkid au davido Twitter wana zaid ya follwers 2mil ila diamond ndo kwanza nahisi ana laki3.

Na kwa nchi za wenzetu Twitter ndio mtandao wenye hadhi kubwa kuliko mitandao mingine ndomana deal kubwa km za biashara au burudani kiduniani utazikuta Twitter na wala sio insta, utaona msanii km Neyo anazidiwa insta na Diamond ila heshima yake ipo Twitter, na wanaowapa follwers wengi insta wasanii wa nigeria ni ss hawa hawa wabongo jinsi tunavyo wafolow, ila isingekuwa hivo hao kina davido wasingekuwa na follwers 2mil leo insta

Japokuwa umaalufu wa insta unampa credit sana Diamond na kuwapa watu nafasi ya kumfatilia kwa ukaribu na kutaka kumjua vzr ndo hapo anapopata viewers wengi YouTube, japokuwa hili la viewers lina timu husika kabisa ya kuhakikisha unaangalia video hadi bando likate, so ukiwatoa hao wakeleketwa wanaobakia ndo hao wanaomfatilia Diamond kutokana na umaarufu wake insta
 
Naheshimu mawazo yako
 
Unajua bwana kuna vitu vinachekesha Sana well
Sasa wakati mwana inatoka si walikuwa wote domo na wema mbona ilihit sasa bogus
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom