TMM = Too Much Money, pia amtambulisha mtoto wake kuwa ni mcheza tenis bora wa baadaye. Msanii huyu mwenye fedha nyingi anasapoti sana watoto wake kwa kuwapa michongo kwenye kampuni zake mwenyewe.
Taarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
Mwanamuziki Christina Grimmie, amepigwa risasi na kufariki katika tamasha Orlando Marekani, muuaji pia amejiua.
Huyu dogo wamemuua Mapema aisee..wangemuachaacha kidogo. Sijui kwa nini vizuri...
Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’...
Kufuatia video aliyoipost mtangazaji Diva kwenye mtandao aliyokuwa akidendeka live na mpenzi wake GK, Diva amefunguka kuwa hayo ni maisha yake na kitu kinachompa furaha mno.
Diva ameenda mbali...
Jamaa alitupia $100,000 mkekani kwa finals za Golden states warriors vs Cleveland Cavaliers na kujinyakulia $190,909.Ambapo mpaka sasa ni 3-1 ikiwa GSW game 4 wameshinda 108-97.
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC FM akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana...
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna...
Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara.
Je, Mboga Saba ndio ngoma...
Chidi Benz alitabiri mbele ya Diamond Platnumz (wakati bado underground) kuwa angekuja kuwa msanii mkubwa.
Hata hivyo maneno muhimu ambayo rapper huyo alimwambia Diamond ni kuwa asije kunywa...
Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa...
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini...
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari...
Msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ amejikuta mikononi mwa askari wa Kituo cha Polisi Urafiki, Ubungo jijini Dar kwa madai ya kuharibu simu na kushambulia mwili.
Habari toka kituoni hapo...