Je, Mboga Saba ni ngoma iliyomrudisha Blue kwenye level zake?

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara.

Je, Mboga Saba ndio ngoma itakayomrudisha Blue kwenye Level zangu kama Awali?

Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara, Je Mboga Saba ndio ngoma itakayo Mrudisha Blue kwenye Level zangu kama Awali?
level zako? wewe ni mr.blue au na wewe ni msani?
 
Wee mr blue? Tangia ulivyo sema Sugu kakuibia wimbo nimekudharau sana tena sana! Kwanza wimbo wenyewe ni mbaya mbaya! Tena nilishaacha kuskiliza ma wimbo yako
 
Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara, Je Mboga Saba ndio ngoma itakayo Mrudisha Blue kwenye Level zangu kama Awali?
kumbe huyu boya aka bogaz yupo kwenye game bado...angekua na akili timamu angeacha mziki aende kulea watoto, muda wake ulishapita mziki wa sasa hivi una wenyewe... BLUE achana na mziki muda umeshakutupa mkono mzeya..
 
Ng'ombe hazeeki maini bob
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom