The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?