mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Taarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
Umri ni niniYallahhh, umri umemtupa huyo
Kama kweli yale aliyoyaimba ndio yaliopo kichwani kwake basi hatoweza kuishi na mke maana muda wote atahisi anamegewa.Kwa hiyo sasa amemuumba mwenyewe mwanamke wa kuoa? Ama yeye anajua nani kalala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi ilhali si yeye?
Namba kwani vepeeeUmri ni nini
Jibu murua hilo ulilotoa. Age is nothing but a number. Sasa namba zimemuacha vipi huyo MwanaFA?Namba kwani vepeee
Naona bado wewe kuolewa, unaujua utamu WA ndoa weyeJibu murua hilo ulilotoa. Age is nothing but a number. Sasa namba zimemuacha vipi huyo MwanaFA?
NumberUmri ni nini
Chama letu la mabachelor linapungua alianxa dully akaja zitto sasa fa bado akina naniliu
Ni kama vile Lowassa amuoe Wema Sepetu au siyo...?!