New video jikeshupa Nuh Mziwanda (shilole ndani)

Nuh Mziwanda ameelezea jinsi uhusiano wake na Shilole ulivyokuwa kwa dakika 3:50!

Kwa video ya wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, Nuh ameuelezea uhusiano huo ulitawaliwa na mateso, wivu uliokithiri, kichapo na tabu za kila aina.
Nuh amemuonesha msichana huyo kama mjeuri na ambaye wakati mwingine anarudi nyumbani akiwa chakari. Ni video nzuri, icheck hapo chini
 
Back
Top Bottom