P.Diddy atambulisha new brand inayoitwa TMM

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
TMM = Too Much Money, pia amtambulisha mtoto wake kuwa ni mcheza tenis bora wa baadaye. Msanii huyu mwenye fedha nyingi anasapoti sana watoto wake kwa kuwapa michongo kwenye kampuni zake mwenyewe.

 
Back
Top Bottom