Wakongo wamuenzi Mohammad Alli kwa kupiganisha watoto

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
WAKONGO WAMUENZI WAHAZIMISHA KIFO CHA MOHAMMAD ALLI KWA KUWEKA MAPAMBANO YA NGUMI
 
HAPANA ILA WANATOA HESHIMA KWA BINGWA MWANAMASUMBWI HUYO
Aidha alipiganaga ngumi na George Foreman nchini kwao nadhani 1973! Na kuna usemi Fulani wa Ali Boma Ye. yaani Ali mpige yeye ( Foremana) hivyo wana historia naye!
 
Aidha alipiganaga ngumi na George Foreman nchini kwao nadhani 1973! Na kuna usemi Fulani wa Ali Boma Ye. yaani Ali mpige yeye ( Foremana) hivyo wana historia naye!
Swadakta liliitwa rumble in the jungle October 29 mwaka 1974 uwanja wa 20th may stadium Kinshasa alipomtwanga foreman lilikuwa pambano la round 15.
 
Aidha alipiganaga ngumi na George Foreman nchini kwao nadhani 1973! Na kuna usemi Fulani wa Ali Boma Ye. yaani Ali mpige yeye ( Foremana) hivyo wana historia naye!

Ali boma ye ilimaanisha ALI UA ..pambano lilikua gumu sana kwa ali lile foreman alitawala raundi nyingi na alimzidi ali nguvu ila ndio hivyo akili za ali zilizidi nguvu za foreman na pambano akalimaliza mwishoni kbs huku wazaire wakipagawa
 
Back
Top Bottom