Shishi Baby amlia mingo Raymond wa WCB, Wanyonyana ndimi nje nje

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazidi umri kwa sababu...)

Naskia uwoya mkali, wanasemaga shishi asali
emoji133.png
emoji133.png
#Natafutakiki
emoji133.png


Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario ajulikane kama Shishi Baby juzi kwenye party ya kumkaribisha Rich Mavoko kwenye Lebo kubwa ya Muziki Tanzania WCB alionekana kagandana na kijana mdogo Rayvan mzee wa hapa kwetu huku wakipeana milenda milenda ndimi nje bila kujali watu waliopo.

Sasa sijui ilikuwa ni furaha, pombe, mapenzi au ndio mambo ya kiki!!

Kila laheri kijana.

*Mimi sio mwanaume wa Dar, kwetu chips ni mboga ya kurumangia Ugali wa muhogo.

Screenshot from 2016-06-06 20:23:23.png
Screenshot from 2016-06-06 20:24:31.png
 
Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.

Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).

Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
 
Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia..nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani)mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani..haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
Ninakupenda umeongea kwa kirefu mwaaaaAa
 
Back
Top Bottom