Naona game 3 alipigwa maana hakuongesha tiketiJamaa alitupia $100,000 mkekani kwa finals za Golden states warriors vs Cleveland Cavaliers na kujinyakulia $190,909.Ambapo mpaka sasa ni 3-1 ikiwa GSW game 4 wameshinda 108-97.View attachment 355620
mkuu kwa Tanzania au wapWazee wa kubet waone mfano huo..sio unabet buku sijui elfu kumi...inatakiwa ubet kuanzia milioni 10
atuonyeshe na anazoliwa pia