Nicknametzee
New Member
- Jun 5, 2016
- 2
- 1
Wanajamvi naomba tusaidiane hapa maana labda umaskini wangu ndo unafanya nishangae
Ni umaskini wako ndio unakufanya ushangae na uvivu wako wa kutafuta.View attachment 355779
Wanajamvi naomba tusaidiane hapa maana labda umaskini wangu ndo unafanya nishangae
Kidhungu jamani!!get hangry or get inspired
Mbona kawaida hiyo mkuu
Zitakuwa mil100