Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Diamond843-1.jpg

Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sababu yeye kuendelea kumchukia Diamond Platnumz, ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake.

“Kuna wakati inafika watu mnakuwa mmekuwa labda, mtu anaona hana sababu ya kuendelea kukuchukia au kuwa na vita na wewe, sababu mwanzo mwanzo mkiwa bado mnaenda mnaona kuna vitu mko navyo ndiyo maana kuna kuwa na chuki kubwa, lakini ikifika wakati kila mtu amesonga mbele na maisha yake, ameridhika na maisha yake anaona kwanini nimuwekee vita mtu fulani.
Hivyo nadhani labda wakati huo ndiyo huu maana mwenyewe nimeona kweli amepost BET, amepost promo ya Rich Mavoko kwangu mimi nafurahi kwa sababu naona haina faida kwa sisi wasanii kuwekeana vita” alisema Diamond Platnumz.

Mbali na hilo Diamond Platnumz alidai toka ameachana na Wema Sepetu hana namba yake ya simu, hajawahi hata siku moja kumpigia simu wala Wema Sepetu hajawahi kumpigia simu Diamond Platnumz.

Source: eatv
 
Wanazidi kusogeleana,
kama uliangalia kipindi cha weekend chat show ya clouds tv ijumaa soud alitoa udaku diamond kuna day kadondonsha kwa wema ununio kimya kimya mchizi anamega kisela(inasemekana lakini) ndo mana bila shaka madam kalegeza vita kwa chibu.teh teh teh punda uliezoea kumpanda kamwe hawezi kukudondosha.idrisa kazi anayo....
 
Wanazingua, mbona Wema alikuwa anasema anamtumia SMS Diamond mara kwa mara wakati mama Mondi anaumwa. Halafu Leo wanasema hajawai kuwa Na namba yake.
 
"hawara hana talaka, ukimtaka unampata" (maneno ya prof jay) haya yetu macho acha tusubirie project mpya kama ile ya kipindi kile, iliyofanyikaga CHINA, lisemwalo lipo kama halipo..............
 
Kuna kitu kitafatia hapa subirini mtaona, huyu Baba ubaya na mama ubaya wanajua
 
kama uliangalia kipindi cha weekend chat show ya clouds tv ijumaa soud alitoa udaku diamond kuna day kadondonsha kwa wema ununio kimya kimya mchizi anamega kisela(inasemekana lakini) ndo mana bila shaka madam kalegeza vita kwa chibu.teh teh teh punda uliezoea kumpanda kamwe hawezi kukudondosha.idrisa kazi anayo....
Haaaa haaaa haaaa haaa haaaa
 
Kama ni kweli,basi hamtendei haki Zari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom