Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 #1 Nyomi yenyewe ya WASAFI kama ilivyotarajiwa ndio hiyo... Nawapongeza WASAFI Kwa kuanzisha TOUR- Hii itapunguza utegemezi Kwa Clouds na Fiesta yao... Naona warembo wa UDOM, CBE, Wamejaa Mbele.. Anyway ndio Makao Makuu..
Nyomi yenyewe ya WASAFI kama ilivyotarajiwa ndio hiyo... Nawapongeza WASAFI Kwa kuanzisha TOUR- Hii itapunguza utegemezi Kwa Clouds na Fiesta yao... Naona warembo wa UDOM, CBE, Wamejaa Mbele.. Anyway ndio Makao Makuu..
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #2 Naona Team Kiba Mnachungulia tu na kukimbia
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #4 mbalizi1 said: Tengenezeni minoti vijana Click to expand... Hahaha... Popliin.. Akakambilia Mombasa