C chipa GM JF-Expert Member Jan 21, 2012 1,803 2,915 Dec 30, 2016 #2 Sidhani km ni pesa.. Vipodozi hivyo...wambie kuna kansa
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,962 Dec 30, 2016 #3 Kwani hivo vipodozi walivyovitumia ni pesa nyingi sana,hadi useme "money talk" ???
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,183 Dec 30, 2016 #5 Yaani wote walikuwa wazuri ila walikuwa weusi ila huyo Diva loveness love aiseeee yule demu ni mbaya bhana
Yaani wote walikuwa wazuri ila walikuwa weusi ila huyo Diva loveness love aiseeee yule demu ni mbaya bhana
T tinkibiruka mhaya JF-Expert Member Jul 28, 2016 929 792 Dec 31, 2016 #7 Kazi ipo mbona hamna anayevutia hata mmoja
L Livejr JF-Expert Member Feb 6, 2014 2,070 2,794 Dec 31, 2016 #10 Diva alikuwa m'baya na sasa amekuwa m'baya zaidi.