Chid Benz ni mfano ya mwanamuziki aliyepipiga hatua tatu mbele na kurudi nyuma hatua tano !!

Mtalebani

Member
Aug 22, 2014
23
57
From Chid Benzi to Chid Vits.... Aisee tumwombee huyu mshakaji...
FB_IMG_1483172397827.jpg
 
Wengi hawajielew,wamekubali kuwa mapunda wa ngada na kupenda kuwanyenyekea mabosi uchwara basi ndio faida yao
 
Dah.....huyu mchizi sjui itakuwaje....haya madawa wanakula ya nini jamani....kakonda mpaka kichwa....unga sio kabisaa!
 
Wanasema kumsaidia haiwezekani ety jamaa mwenyewe hataki me naona jamaa hajitambui na ndio maana yuko hvyo........ Wampeleke kwenye vituo vya madawa ya kulevya walioasilika wakishindwa waniletee nimpe sindano ya sumu aache kutusumbua tuanze kusikiliza vitu vingine hata vyombo vya abali vipumzike
 
Unga lazima upikwe ndio ule,bangi inapikwa ndio inaliwa, vinginevyo ni kujipoteza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom