Serena Williams apata mchumba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Yule mwanamichezo maarufu wa Marekani Serena Williams amepata nchumba.

Hiii ni habari mbaya kwa wale marafiki zangu wa Tanzania walioko huko ambao wengi walitarajia hako kanafasi.

Hatahivyo yupo aliepo kwaajili yenu msikate tamaa.

--------------
Serena Williams achumbiwa na mwanzilishi mwenza wa mtandao wa Reddit
x30xp-serena-master768.jpg.pagespeed.ic.UVxZXnMXMz.jpg

 
Back
Top Bottom