Kibao kipya cha linah, "Kosa sina", ni balaaa

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,425
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah, now unarudi kwenye level zako za fitina na oletemba.
 
Sijawahi muelewa huyu demu tangu alipo zinguana na THT mwenzie...

Inshort hajimudu mwenyewe.., hana swagaa

We ni mfungua mageti wa THT? maana povu linakutoka Lina kuondoka pale kama ukaaji wake pale ulikuwa na faida kwako
 
Kunawatu nkisikia wametoa nyimbo mpya Hata sifuatiliagi najua2 ctaipenda
 
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah, now unarudi kwenye level zako za fitina na oletemba.
Unaposema sio ya nchi hii unamanisha nn
 
Back
Top Bottom