Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii Ali Kiba amekiri hajui kuongea kiingereza vizuri, lakini hata hivyo amedai kiingereza sio ishu na kwa kuwa ameimba Kiswahili na amepiga hela na kuchukua tuzo mingi.

Pia amesema Wanaosemwa akamaatwe na Kamanda Mpinga kwa kuendesha gari kwa kuhatarisha usalama alidai hakuendesha yeye na pia waliomba kibali
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
hahaha
 
Ooouuhhh mbona kama una base Team tiffah..! Tukiacha ubaguzi mziki wa bongo utaenda mbali.! Ushauri tuu
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Wivu tu, sina team ila hayo maneno yako yaonekana ni chuki tu. Nakusamehe pia
 
Sijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineo
kwani huyo Daima hajisikii? tabia za mtu zisiingie kama ndio life yake na ukisema unamchukia mtu sio neno zuri
im not team kiba or Diamond but nakubali kiingereza kisikufanye ushindwe kufanya mambo yako ni njia ya mawasiliano tu kazi zako zitabaki kuheshimiwa as ni kwa lugha yako
 
Back
Top Bottom