Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Msanii wa Bongo Movie baada ya mumewe Chid Mapenz kuswekwa lupango kwa tuhuma za madawa ya kulevya , msanii huyo amedai misuko suko kwenye ndoa ipo na alishaonywa kuwa ndoa inakuwa haijanyooka, amekanusha pia tuhuma za kutoka na msanii mwenzake wa Bongo movie Gabo mara baada ya kuandika kwenye mtandao akiambatanisha na picha kuwa akiwa anaigiza nae anapatwa na hisia za mapenzi kama yupo na mumewe