Harmo rapa: Wanaonisema vibaya mnazidi kunifanya nifanikiwe

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii chipukizi Harmorapa amefunguka hayo alipokuwa anahojiwa na EATV, pia amesema hana mpango wa kubadilisha jina japo ana bifu na WCB

 
Ana bifu na WCB
hizi kiki zitawaua siku si zao

Ukitaka kupotea kimuziki basi weka bifu na WCB (Kiba ni special case kwa hili)
Kwa nin usiseme hao wanaojiita WCB ndio wana bifu na Harmorapa wakiongozwa yule mkata mauno..?
Skide alijifananisha na Diamond na akaenda mbali mpaka kufikia kusema ni ndg yake, lakini busara za diamond za kutoreact hatukusikia jambo lolote.
Harmorapa kujifananisha na Harmonize imekuwa nongwa kwa mkata mauno Iyobo na hawara yake yule aliyekatwa chupa kwa ajili kugombea bwana.
Unafikir Iyobo angekaa kimya kama anavyofanya Harmonize haya yote yangetokea..?
 
Hivi huyo Ilongo sijui Iyobo ni mwanamama au?maana nimeaikia shangzai yake sijui nani ake alipewa kipondo akiwa anagombea mbo.........
 
hahahaha aisee cheki mabinti wanavyo mpa mabuthu Harmorapa daaa aisee si mchetho
 
Back
Top Bottom