aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango