RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,776
Hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi kujifanya sio watanzania ni waingeleza na viswainglish vyao huku fani zao zikizidi kuyumba angalia bongo movie imepoteza mvuto
Nakumbuka enzi za kanumba alikuwa sio mtu wa kiki, ilikuwa kazi tu,,kama english alikuwa anajua kama kucheza kama tahira alikuwa anaweza kama kucheza kama millionaire alikuwa anaweza sasa angalia sasa hivi hamna kitu. lakini staa kama samatta nanayecheza GENK-BELGIUM,
dogo ana jua mpira kama umaarufu anao pesa anazo lakini dogo hajitapi hapendi kiki za kijinga kama hawa wenzetu. jamani mastaa wa bongo badirikeni fanyeni kazi acha kiki za kipuuzi